Kanisa la Philadelphia Gospel Assembly Limemtunukia tuzo ya uongozi Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

20 Desemba, 2020  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI RAIS MAGUFULI ATUNUKIWA TUZO NA KANISA LA PHILADELPHIA GOSPEL ASSEMBLY *Ni ya baada ya kuridhishwa na uongozi wake uliotukuka UONGOZI wa kanisa la Philadelphia Gospel Assembly, kupitia Kamati Kuu na Halmashauri Kuu imemtunukia tuzo ya uongozi Rais Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wake,